Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.Jisamehe Mwenyewe

Kila mtu hufanya makosa, mara nyingi, sio wote ambao wanaweza kusamehe kwa urahisi wengine au kujisamehe wenyewe kwa urahisi, kwa makosa hayo. Kwenye huruma ni kuwa na uwezo wa kusamehe yale mabaya tuliyoyafanya au yalio kinyume nasi.
 
Kama wewe ni mmoja wa wale wanaoshikilia makosa, huenda unahangaika katika kusamehe na kujisamehe. Ruhusu huruma iingie ndani yako. kujipenda ina maana ni kujipenda hata unapokuwa na makosa . kitu ambacho kila mtu hufanya wakati kwa wakati.
 
3.Jilinde mwenyewe.

Maisha mara nyingi hayawi kama unavyotaka. wakati mwingine unaona kama maisha hayana wema. Utabaki ukishangaa kwa kuona maumivu na kuvunjwa moyo kwenye Dunia hii. Nyakati hizo zinapokuja , jilinde mwenyewe.
 
ruhusu kusikia hisia zozote zinazokuja. Iwe ni woga, Hasira, Maumivu, Kukatishwa tamaa, Pata muda wako wa kushughulikia bila ya kujilaumu au kulaumu mtu mwingine kwa kufanya makosa. Jipende kwa kujiwekea ulinzi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…