Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5.Jipende mwenyewe.

Sasa kabilia na hili. Ni mzuri, una furaha kwa kila kitu, kwa hio , kwa nini unajifungia ndani , unanunua vyakula hotelini na kupeleka kula nyumbani ukiwa umevaa pajama zako? Ni wakati wa kuondoka hapo kwenye kochi lako tena.
 
Sio na mtu fulani, bali ni wewe peke yako. Nenda mahali pazuri ukapate lunch au dinner, kama utajisikia vizuri. Agiza kinywaji unachokipenda. furahia. huko ni kujipenda mwenyewe. sio kutegemea mtu mwingine akupende kwa namna hio.
 
kwa kadri unavyozidi kukua na kucheka kunapungua. Lakini hii sio kweli . Tafuta kitu cha kukufurahisha na utaweza kucheka kwa nguvu . kujipenda ina maana ni kucheka mwenyewe wakati mwingine, acha wafikirie kuwa una kichaa. lakini una akili zako.
 
7.Sherehekea mwenyewe.

Ni lini uliwahi kufurahia kuishi kwako? sio tu kwa ajili ya mafanikio na kukamilisha jambo. lakini ni kwa kila ulichonacho katika maisha yako. maisha sio rahisi kila wakati. inahitaji moyo kuwa imara nyakati ngumu.inahitaji ujasiri wa kusimama tena baada ya kuanguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…