Sikumtoroka bro tuliwasiliana adi nje ya KTMe nilikuwa mfuta machozi tu. Ulimtoroka yule binti!
Ha hahSikumtoroka bro tuliwasiliana adi nje ya KT
Hawataki kuja jf wamezoea kt yao tuHa hah
Msalimie sana, hatuwasiliani tena.
Samaki akiliwa na chsmbo ujue mviuvi kashaanza ulofa.....Usijiite jembe huku kimeo wakati pabichi unakwama
Seremala arudi veta mende akiangusha kabatiUsiogope kuitwa bubu kwenye kundi la viziwi
Daudi akiepigwa ngeta ujue kesi kwa GoliathSeremala arudi veta mende akiangusha kabati
Magufuli: Kama kuna mtu hawezi kwenda na kasi yangu leteni jina nimtoe
Kasi ya mwendawazimu
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama muda ni pesa fungua account ya saa