Numbisaaa π€£Ni #kunywauji
#kimdabuomatata
#kupigamasagampakakoolisemeuwiiii
Indeed VEJust beautiful VE
Kabisaa cha mwishomwisho kitamuKwamba ile cha mwisho mwishoo kabla ya kuanza mfungo sio?
Three at least , and above if possible ππNow youβre no longer mentally unstable how many women do you think will be enough?
πππ
KumbeeeThree at least , and above if possible ππ
Hee hao wa misimu ya summer wana balaaHiyo ni kila mahali, nadhani issue ni jua linatoka saa ngapi.Mfano Ramadan ikiwa kipindi cha summer kuna nchi wanafunga mda mrefu sana bcoz mchana unakua mrefu kuliko usuku.
Nikajua upo rock city, umehamia wapi tukutembeleeππ
Kigoma nao wanachelewa kweli kufungua, yani wengine mnajianda na insha wao ndio wanaandaa futari πHiyo ni kila mahali, nadhani issue ni jua linatoka saa ngapi.Mfano Ramadan ikiwa kipindi cha summer kuna nchi wanafunga mda mrefu sana bcoz mchana unakua mrefu kuliko usuku.
Nikajua upo rock city, umehamia wapi tukutembeleeππ
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππKumbeee
#uzinduziulistahili
#wawilitayaribadommoja
#opssmkenyakeshatimizaidadiyawatatu
ππIt was undiscovered love in you I found
Balaa haswa, siku ndefu, jua kali na joto.Hee hao wa misimu ya summer wana balaa
#hukuhukukwabwanaj
Duh kuna nchi zinachangamoto. Ila ndani ya uzi huu mie tu sijawahi fika ulayaBalaa haswa, siku ndefu, jua kali na joto.
Ila ikiangukia winter inakua rahisi sana.Mchana mfupi na kaubaridi.
Sema zile nchi ambapo jua halizami kwa kitambo sijui inakuaje.
Usicheze kabisaaa na jicho la ubuyuππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Yale mazungumzo nilijua ni mimi na capital tu kumbe ulipita? Aiseee
Ntakupeleka ukiwa wa kwanza shuleniππ.Duh kuna nchi zinachangamoto. Ila ndani ya uzi huu mie tu sijawahi fika ulaya
#poorme
#aahsijuinakoseawapi
Heheh!Usicheze kabisaaa na jicho la ubuyu
#tukikosaubuyutunausakakwanguvu
Unafunga mpaka unakata network.. Huongei na mtu unasubiri jua lizame hatari sana that experienceBalaa haswa, siku ndefu, jua kali na joto.
Ila ikiangukia winter inakua rahisi sana.Mchana mfupi na kaubaridi.
Sema zile nchi ambapo jua halizami kwa kitambo sijui inakuaje.