Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Soya ni lazima ipikwe vizuri, Ikiwa mbichi soya ni sumu na inaweza kuleta madhara kwa afya yako.Utumiaji wa soya kwa wingi kwenye mlo wako itakusaidia kupata protini ya hali ya juu, madini kama kalsiamu. Unaweza kutumia bidhaa mbalimbali za soya kama mbadala wa protini zinazotokana na wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…