Pale hedhi za mwanamke zinapoanza kukoma, uzalishwaji wa homoni za estrojeni hupungua na hivyo kupata dalili za kuhisi kama joto kali usoni na kutokwa jasho.
Kupunguza Ukali wa Homoni za Estrojeni Mwilini
Phytoestrogens ni kampaundi zinazofanana na homoni za estrojeni, hivyo husaidia kupunguza ukali wa estrojeni pale inapokuwa nyingi mwilini kama kwenye hali kama PMS (kabla ya kuingia hedhi) na endometriosis.
Hupunguza Hatari ya Saratani ya Matiti Kwa Wanawake
Kuna baadhi ya tafiti zinaashiria wanawake wanaotumia soya kwa wingi katika mlo wao huwa na hatari ndogo ya kupata saratani ya matiti.
Ukijihusisha na ngada lazima uumbuke tu hata kama ukijifanya unaishi kama malaika... https://nuruthelight.blogspot.com/2015/02/the-nsembos.html https://nuruthelight.blogspot.com/2014/06/happy-birthday-to-abdul-nsembo-mume-ya.html...