Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Phytoestrogens ikijumuisha na isoflavones zimekuwa zikihofiwa kwamba zinaweza kuleta madhara kwenye ukuaji na maendeleo ya jinsia, kinga na mfumo wa uzazi kwa watoto wachanga wanaotumia maziwa yenye soya. Ingawa baadhi ya tafiti kwa wanyama zimeonesha hivyo, bado hakuna ushahidi unaonesha madhara kwa binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…