Wamerudia.... wameniuzi nitahamia kuangalia Tembisa sasaHahahaha na isidingo je? Au na leo wameirudia?
Yaani...Wanalala hawa
HahahahahahahahahahahaHivi wewe uliyejiunva uzi huu jana si unajua lengo lake
Kule tukikutana natwanga tu kwa maneno...
Eeeeeeeh
Hahaha hapo jua ule wimbo wa weusi hauamki hapo