Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaa joyce ana lalamika kula ugali msiban uyu dada chiz hahahahaha au ndio mtani ila.kwan mchaga ma mchaga n mtani.? Mtani. Si mchaga na mpare na wale.watu waTangaView attachment 1089736
Numbisa huwezi kujua, hata wanaojifanya mastaa kuna wakati huenda msibani wakagonge pilau la bure washushie na Serengeti lite za bure bure.
Puuzi sana hao.
 
Fumbo hilo...
Ameivuruga kazi yake mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…