capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Very true.Siyo wote, mi wala sijui kinachoendelea na msiba huo.
Jf ndiyo hunipa picha ya kinachoendelea
Kenene! Sa Sijui ndo kiswahili ama ni lugha ya babu na bibi.
Hii pia nilikula utotoni. sikumbuki jinaLinaitwaje tunda hili? (Kiswahili) View attachment 1090604
Hii huitwa tikiti maji
Haya ni Maembe
Inaitwaje?Matunda haya yanaitwaje pande hizo?View attachment 1090610
Ni nini inaitwa?