Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Poti unataka kusema na wewe unako kakiripu ka msuku anakakamua kang'ombe?!!
Mwache Yesu aendelee kujichelewesha kwa kweli... Kuna vitamu duniani jamani[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msuku mambo yake siyo ya kispotispoti[emoji1787][emoji1787]
Fragaria na Hawachi tuacheni kwa muda
 
Tayari Askofu Gwajima ameitwa Polisi kwa ajili ya kuhojiwa na ataripoti kesho asubuhi, akichelewa atakamatwa na tumemuita sababu hakuna aliyelalamika lakini tumeona ni kitendo cha ukiukwaji wa maadili, awe Askofu awe Mtu wa kawaida ule ni unyama" Kamanda Mambosasa
 
Mkuu hilo tunda lina liwaje.
Haya ni mawili tofauti yatolee maelezo ingawa kidogo jirani View attachment 1091187View attachment 1091188
Mzee wa pwani,mimi asili yangu ni Kyela,tunalima sana kokoa ukiachana na mpunga kama zao la chakula.Michikichi imeanza kulimwa miaka ya 80 kama zao la biashara mbadala wa zao la kokoa.Picha ya pili silijui ni tunda gani kwa kweli.
Kokoa tulikuwa tunatumia kama mbadala wa majani ya chai,pia maji yake baada ya tunda kulipasua tulikuwa tuna yanywa tukitoka kuchunga ng'ombe na kutegea nyuki kwenye mizinga tuliyoitengeneza...
 
Mungu wangu! atatoka kweli?
 
Gwaji boy utamu ukakimbilia puani full kuzitanua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankooo
 
Kabla sijasema neno, naomba niione video mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…