Hahahahaha, wamezidiwa bro.Hii Barca ya kiboya sana
Unapigwaje na liverpool?
Unaenda kuabudu au kusikia utetezi?
Karibuni Daku kwa udhamini wa Origi[emoji23][emoji23]Ukishtuka saa moja hakuna kulazimisha giza kama daveti[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakuu, usiku mwema.
Hakuna timu pale bali ni genge la wahuni tuCole Williams Davet matokeo tunayooooo
Hahah! Tuko pamoja mkuu likes zinaendelea na furaha yako tunataka kuiona humu humu usiipeleke kwingine mana ata sisi zetu tunazileta humu piaHapana siwezi, furaha yangu nitaifanyia eneo lingine.
Nazitaka sana likes za Davet.
Cc Davet.
Njoo tugonge likes achana na mambo ya mpira
Safi sana bro.Hahah! Tukio pamoja mkuu likes zinaendelea na furaha yako tunataka kuiona humu humu usiipeleke kwingine mana ata sisi zetu tunazileta humu pia
Hakuna timu pale bali ni genge la wahuni tu
Hahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hasira bro[emoji41][emoji41]F*ck Barca
Wachezaji wasiopatata nafasi wakiipata wanajitumaga sana rejea game ya marudiano PSG vs Man U.....Safi sana bro.
Nipe tathimini yako ya mpira wa leo, Liverpool bila Firminho, Salah na Bercelona wakiwa kamili gado
Kumtoa Messi na Vidal the rest ni wahuni tuHahahaha, wahuni wepi sasa?