Nimekutag huko tayariHahahahaha Uzi gani huo ?
[emoji23][emoji23] hebu jijurishe nikaone vurugu za mzee baba uncle[emoji23]
Twitter zake yeye ni simba hana kingineView attachment 1093120Bongo eeh!
W/salaamAsalam alykum wana nzengo wen zangu nimerejea
Hahah! Labda atakua na sababu zake za msingiTwitter zake yeye ni simba hana kingine
Hata pole hawezi andika ya angalau kwanza hii ngozi nyeupe ni mibaguzi sana hata kama kiasiri atakuwa ni AfricaHahah! Labda atakua na sababu zake za msingi
Shukran upoW/salaam
Karibu sana
Walyekum Salaam, mzimaAsalam alykum wana nzengo wen zangu nimerejea
Ukiwaza kiundani utagundua anazingua sana au labda uwezo unampa kiburiHata pole hawezi andika ya angalau kwanza hii ngozi nyeupe ni mibaguzi sana hata kama kiasiri atakuwa ni Africa
Nipo sana, vipi za kuadimika?Shukran upo
Watu jinsi walivyokomalia ile ishu yake ya kutekwa hasa Mdude kule Twitter kaka alijua kutoa povu kumtetea apatikane ila kajituliza kimya kama hajui yaliyo tokea.Ukiwaza kiundani utagundua anazingua sana au labda uwezo unampa kiburi
Hahah Bongo nyosoDuuu, Bonge la Dongo.
Watu wana mawe si ya nchi hii[emoji849][emoji849]
Kwani issue ya Mduda Chadema hakuitolea kauli yeyote?Watu jinsi walivyokomalia ile ishu yake ya kutekwa hasa Mdude kule Twitter kaka alijua kutoa povu kumtetea apatikane ila kajituliza kimya kama hajui yaliyo tokea.