Nasikia ipo vizuri sana hiiThe man from Uncle
na jamaa asivyopenda kutishiwa na vijibwa vyenye kubweka ovyoLabda yamemfika shingoni ya kuona mwanawe kipenzi anavyodhalilishwa huku dikteta akiwa kapiga kimya.
Usiku mwema wapendwa
[emoji818][emoji818]
Duh!!"Watu walikuwa na khofu kuwa CCM walikuwa na very smart scheme lakini mimi ninavyowajua wana ujasiri wa kuwa ovyo, mpaka watumbukie shimoni ndio wajiulize. Hata hii reaction yao ya sasa inathibitisha ninayosema."
- Othman Masoud Othman
aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar
Ndio napita nayo sasa hivi bro naona ipo njema sana ata kati haijafika, tena nilitaka nikutag kukuuliza kama umeshaicheckNasikia ipo vizuri sana hii