Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwishowe mapambo na majukwaa ya Liverpool yaliwekwa kando kupisha wababe wa England msimu wa 2018/19 Man City kutawazwa mabingwa.
 
Matokeo kwa mechi zingine yalimalizika kama ifuatavyo; Fulham 0-4 Newcastle United, Bunley 1-3 Arsenal, Crystal Palace 5-3 AFC Bournemouth, Leicester City 0-0 Chelsea. Pia Machester United 0-2 Cardiff City, Tottenham 2-2 Everton, Watford 1-4 West Ham, Southampton 1-1 Huddesfield
 
Lakini, unaambiwa hivi kwa msimu huu, uliomalizika hapo jana Jumapili, Man United ina mambo mengi ya kuyasahau, maana ilikuwa ni mwaka wa shida kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…