In the long run, we shape our lives, and we shape ourselves. The process never ends until we die. And the choices we make are ultimately our own responsibility
Mtandao wa WhatsApp unawataka watumiaji wote kufanya update ya programu hiyo kuanzia jana Jumatatu, baada ya kugundua udukuzi (hack) kwa baadhi ya watumiaji ambao umefanywa na kampuni ya Israeli iitwayo NSO Group. Shambulizi hilo liligundulika mwanzo mwa mwezi huu.
Life is a series of natural and spontaneous changes. Don’t resist them―that only creates sorrow. Let reality be reality. Let things flow naturally forward in whatever way they like