Aisee.Mama Ntilie wa Dar punguzeni mchinjo
Jamani nyie mama ntilie wa Dar hebu kuweni na huruma kidogo, kiukweli mnaweka msosi kidogo sana mpaka kwa wateja wenu, binafsi toka nije Dar sijawahi kushiba. Hebu waigeni mama ntilie wenzenu wa Mwanza aisee, kule wanaweka msosi mtu unakula mpaka unahisi umelitendea tumbo lako haki.www.jamiiforums.com
Wanajaza sana yeast hata ule VP njaa itakupumzisha kama Masaa mawili tu.Mama Ntilie wa Dar punguzeni mchinjo
Jamani nyie mama ntilie wa Dar hebu kuweni na huruma kidogo, kiukweli mnaweka msosi kidogo sana mpaka kwa wateja wenu, binafsi toka nije Dar sijawahi kushiba. Hebu waigeni mama ntilie wenzenu wa Mwanza aisee, kule wanaweka msosi mtu unakula mpaka unahisi umelitendea tumbo lako haki.www.jamiiforums.com
[emoji120][emoji120][emoji120]Alhamdulillah ni poa kabisa
Good Morning Your Highness! [emoji1][emoji1]