πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ Nimefunga bro
π π π ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ Nimefunga bro
Amini nakuambia sijafungua kitu, tena kinachonipeleka ni jina lako tu
Umejuaje nimeelekea huko na mimi sikuwepo huko?!Amini nakuambia sijafungua kitu, tena kinachonipeleka ni jina lako tu
Nimefungua tab ya New posts ndio nikaona hayo madini na jina la mmiliki wa madini ni wewe basi sikutaka kuchelewa nikapita kuangalia πUmejuaje nimeelekea huko na mimi sikuepo huko?!
Sawa Bro .. vizuri! Nimefurahi kama mdau πNimefungua tab ya New posts ndio nikaona hayo madini na jina la mmiliki wa madini ni wewe basi sikutaka kuchelewa nikapita kuangalia π
Hahah dah!Sawa Bro .. vizuri! Nimefurahi kama mdau π
@Fragaria
Usinifnyie hivyo buanaπ¬π¬π¬Hahah dah!
Sawa ntaongezaongeza kidogo mushibeMama Ntilie wa Dar punguzeni mchinjo
Jamani nyie mama ntilie wa Dar hebu kuweni na huruma kidogo, kiukweli mnaweka msosi kidogo sana mpaka kwa wateja wenu, binafsi toka nije Dar sijawahi kushiba. Hebu waigeni mama ntilie wenzenu wa Mwanza aisee, kule wanaweka msosi mtu unakula mpaka unahisi umelitendea tumbo lako haki.www.jamiiforums.com
Mfungo ukiisha nitapitia vizuri mafile yako bro πUsinifnyie hivyo buanaπ¬π¬π¬