Nakuona unavyo crack code 😬 😬 😬 😬Mfungo ukiisha nitapitia vizuri mafile yako bro 😀
Unaonekana umekuja kwa kishindo kikubwa kwenye hiyo tasnia
Wapi huko?Elimu bure
Sh ngapi kilo?Bei elekezi za Korosho
😀😀😀😀😀😀😀 wacha tuache hii mada tutakua tunayamaliza huko huko juu kwa juuNakuona unavyo crack code 😬 😬 😬 😬
Nilikutana nayo niakaona vyema ku-share!
Wacha tumalize Mwezi Mtukufu Bro!!
Bongo land hiyoWapi huko?
Umeshafungulia weweAmini nakuambia sijafungua kitu, tena kinachonipeleka ni jina lako tu
The only football I watch is world cup. otherwise ligi zingine zote nasubiri kujua nani kafungwa tu!
Haka ka ujanja ka bro umekapata. Tufundishe basi iphone wetu
Nimeiona mahala pawili hii..