Madingi noma [emoji23][emoji23][emoji23] enzi zao wote walikuwa wa kwanza darasani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dingi ilibidi awe mpole lol!
Evra ame trend sana mtandaoni! Kuna nini kuhusu Evra??Kwa bahati mbaya, licha ya kuitandika Man United 2-0, kwenye mchezo wa mwisho, Neil Etheridge na timu yake, wameshuka daraja, baada ya kumaliza katika nafasi ya 18. Kuna tetesi kuwa, Bournemouth inamhitaji. EPL bado inahitaji uwezo wake wa kupangua Penalti.
Hahah ngoma inaitwaje?Tufanye colabo
Ha haaa najua basiiiHahah ngoma inaitwaje?
Tafuta idea na jina la ngoma ili nianze kabisa tiziHa haaa najua basiii
Madingi noma [emoji23][emoji23][emoji23] enzi zao wote walikuwa wa kwanza darasani