Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Juzi kuna kauzi alikuwa anatambaa nako kwa ushawishi mkubwa... Nikajisemea semea tu "haka katoto hiiiiii"Mwite huku tumemmiss sana
Nilicho kiona ndicho kilicho sababisha nishikwe na ngiri...
Barabara ya juu nayo iwe na mlima ? !! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hahah! Kwakweli anakuja kawa kasi sanaaaaHa ha capitalpool haniangushi kwenye hiyo sekta najua
Nipo ndugu yangu
Poa sana mkuu, za kwako?Hahahaha mkuu mambo vipi
Toa emoji tuone full picTBT kamwene mwaka 2005 standard one, masiku kedekede yamepita [emoji16][emoji16]View attachment 1099036
πππ mtasubiri sana.Toa emoji tuone full pic