Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu yule Dada mnampenda ninyi sana sijui mlimuudhi nini na uchokozi wenu. Mumbembeleze arudi jamani. Au kuna aliemteka na kumyang'anya nywila humu!
Sidhani kama ameudhiwa, angesema.Nadhani ni majukumu ya kimaisha yamemfanya aadimike(i.e kama yeye sio wewe πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ #badoNnahisi)
 
Hatari sana, ni bora kujifunza kutoka kwa wengine.

 
Wewe ndiye burudani ya ubongo wangu...
Ahsante sana kwa uwepo wako ankoo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Endelea na mjukuu wako napumzika kidogoView attachment 1099221
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankoo yaan koment zako ni furaha tosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ilo tumbo lembebez cha mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…