myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sijui kiswahili aisee..
NdiyoSijui kiswahili aisee..
Nasaba maana yake ni hiyo?
Nadhani nilichanganya na 'Nasaha'.Basi nasaba ni kama undugu
Salama kabisa.Kwema Bro,
Habari ya uzima?
TRM imepumzika kuupisha mwezi mtukufu kwanza[emoji23][emoji23]
Yah vinafananaNadhani nilichanganya na 'Nasaha'.
😀 Davet buanaMkate una jam
Barabara ina jam