Tunzeni stara dada zetu, sio lazima uvae nusu utupu ili uonekane mzuri.....View attachment 1099085
Kwema karibuHumu kwema?
Basi mimi yangu yatakua yananidanganyaMacho yangu yanamuona mzuri eti
Una makengeza itakuwaBasi mimi yangu yatakua yananidanganya
Nawe piaRamadhani njema
Nawe pia
[/QUOTE
Njoo inbox
Hahah jamaniUna makengeza itakuwa
Njoo inboxNawe pia
Hahahaha, loh, eti ni fyekero la furani [emoji1787][emoji1787]Wewe tena? ukanisemea kwenye uzi wa watu kuwa mi ni fyekero la fulani! Au sio wewe?
Wanaume wote wana mafyekero humu!
Halafu yule Dada mnampenda ninyi sana sijui mlimuudhi nini na uchokozi wenu. Mumbembeleze arudi jamani. Au kuna aliemteka na kumyang'anya nywila humu!
Hii tabia yako iwe mwisho leo tuheshimiane.Njoo inbox