Ada ya Pauni 100 milioni imedaiwa inaweza kutoka kwa ajili ya kunasa huduma ya mchezaji huyo jambo linalomfanya Hudson-Odoi kutaka jezi yake kama ataondoka.
Hudson-Odoi kwa sasa jezi yake ina namba 20, lakini huko kwenye Twitter anatambulika kama @Calteck10. Kinda huyo anataka jezi yake ifanane na jina lake kwenye Twitter. Chelsea itasikiliza sharti lake kama Hazard ataondoka?