capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Yeah, nilitania.Nikiwa mdogo kuna gari lilikua limeandikwa hivyo(jino moja ....).Usafi wa kinywa si meno tu Bro, kuna jaws, ulimi na upper & down parts ya kinywa husafishwa pia kwa mswaki!
Najua ulitaaania ..
😀😀😀Aitheeee
Yeah .. nipo sawa sana! Hope hujambo pia Bro.Yeah, nilitania.Nikiwa mdogo kuna gari lilikua limeandikwa hivyo(jino moja ....).
I hope siku imeanza vizuri huko.
Ni iPhone X Bro,
Hilo tambo sana, hizi products kuanzia 7 ndio unaenjoy ila chini ya hapo mizinguoNi iPhone X Bro,
Sio kweli, nilichelewa kulala mbonaVyema kuskia Cookie,
Umelala mapema sana jana!
Basi mi mgonjwaUtoto ni ugonjwa ndio maana utuuzima ni dawa
iPhone 7 oficially launched in 2016 , iPhone X ya mwaka 2017 Bro.Hilo tambo sana, hizi products kuanzia 7 ndio unaenjoy ila chini ya hapo mizinguo