Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga ametaka kufanyiwa mabadiliko Sheria ya Makosa ya Kujamiiana (Sexual Offences Act) ambayo inataja kuwa ni kosa la jinai kwa watoto (teenagers) waliokubaliana kujamiiana. Amesema sheria hiiyo ni njia ya kujaza magereza kwa uonevu.


Tupate nasisi watu wenye akili kama huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…