Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Me hata siwajui tofauti Kati ya jaguar,cheetah na tiger [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Assalam alaikum kaka moudgulf
Walyekum Salaam, mzima dada yangu mpenzi.
Hawa Jaguar, Tiger, Cheetah, Leopard ni jamii ya paka wanaofanana, wana tofauti ndogo ndogo ingawa Tiger ana umbile kubwa na ndiye mkubwa kwenye kundi la jamii ya paka, yaani pamoja na Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…