capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Vizuri sna Jirani.Jirani nimekuelewa Jirani...π
Mpende jirani yako kama
Watu wana dhambi sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hii picha ya kutengenezwa mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sefu amekunja Sura aisee.
Sijambo sana Wife .. hofu yangu kwako wewe..Poa mzima wewe
Walyekum Salaam, mzima dada yangu mpenzi.
Hawa Jaguar, Tiger, Cheetah, Leopard ni jamii ya paka wanaofanana, wana tofauti ndogo ndogo ingawa Tiger ana umbile kubwa na ndiye mkubwa kwenye kundi la jamii ya paka, yaani pamoja na Simba
Mie napata shida sana kuwatofautisha cheetah na leopard mie wote ni Chui tu.
Picha ilikuwa inatabiri yajayo πWatu wana dhambi sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Harufu gani?Weekend inanukia