Karibu.Shukran bradha
Naendelea fresh kiainaKaribu.
Natumaini umepona kabisa au unaendelea vizuri.
Nimeamka salamaUmeamkaje leo?
Pole sana.
Unakulaga Pizza nikuletee??
Shukran HawachiPole sana
Dua zangu zimefanya kaziNaendelea fresh kiaina
Baraka ziwe kwako...Nimeamka salama
Naendelea fresh
Mmh pizza naionaga kwenye picha tu bora uje na viazi vya kuchoma nisipate shida ya kula vitu vigeni[emoji2]
Hapo lazima itapata soko kubwa ndani ya nchi