We acha tu! nna usingizi hatariNdiyo sababu sikukuona jana yote, kumbe ulikuwa kwenye maandalizi.
Hahaha.. inabidi kumfundisha kijana!Ndege ambayo unakuwa na access ya internet. Hmmmm! ππππ
Mwezi mtukufu huu! No viwanjas
Unapenda eeeh?
Hapo sawa maana kwa bombadia asingewezaNdege ambayo unakuwa na access ya internet. Hmmmm! ππππ
Hapo sawa maana kwa bombadia asingeweza
πππ Bombadia !Hapo sawa maana kwa bombadia asingeweza
ππππππ
HapanaUnapenda eeeh?
hahahaa..Hapana
Davet anazizimia hizo huyu! Maana kahamisha from uzi kuleee
Eeh za Magu ndio wanaziita hivyo badala ya bombardier pia wanaita Air bajajπππ Bombadia !
Weka maujuzi!Chachandu huongeza utamu wa kunanino.
Weka maujuzi!