Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weka akiba

Mara ngingi watu hujitetea kuwa hawawezi kuweka akiba kwa kuwa hawana kipato kikubwa. Ukweli ni kuwa kuweka akiba siyo kuwa na kipato kikubwa bali ni maamuzi pekee. Fahamu kuwa kuna wakati chanzo chako cha kipato cha sasa kinaweza kukauka; hivyo kuwa na akiba kutakuwezesha kukidhi mahitaji yako kwa wakati ambao huna kipato cha uhakika au cha kutosha. Unaweza kufanya mambo yafuatayo:

Andaa bahasha nne (1. Kuwekeza, 2. Matumizi ya lazima, 3. Akiba 4. (Jambo lingine muhimu linalohitaji pesa)
 
Pesa siyo kila kitu katika hii dunia, lakini ina nafasi kubwa sana. Hivyo ukitaka kuwa na utawala mzuri katika maisha yako ni vyema ukaimarisha misingi ya matumizi yako ya pesa. Epuka tabia za kitoto au za watu wasiokuwa na busara, ambao hula au kutumia kila wanachokipata. Naamini njia hizi 10 zilizoelezwa hapa zitakupa mwanzo mzuri wa matumizi ya pesa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…