Unaweza kuwa Masikini, viatu vyako vinaweza kupasuka Na kuzeeka,Lakini akili (Mitazamo) yako ni Kasri (Jumba tukufu) la kifalme
Nimegundua hutaki daku kutoka kwangu wa kijijini mufindiHa ha
Leo hakuna mwaliko wa daku mpendwa
Marahaba makubwa !!!Shikamooo makubwa [emoji3526][emoji3526]
Nipo ndani ya nyumba.Shimba wa buyenze mzee baba naona like zako
Hujawai nipa mwaliko wa daku,zaidi ya ule wa futar pekeeNimegundua hutaki daku kutoka kwangu wa kijijini mufindi
Karibu kwa Mara nyingine,Mfungo tunasonga nao vizuriNipo ndani ya nyumba.
Mfungo wa mwezi mtukufu unaendeleaje?
Hahahaha naomba uje tujumuike kula makande hapaHujawai nipa mwaliko wa daku,zaidi ya ule wa futar pekee
Ilikuwa tukirudi shule nyimbo inapigwa hadi mda wa kuludi mother job ndipo ina stopishwa