Amen Mkuu [emoji1431][emoji1431][emoji1431]
Manchester United wanashughulikia mpango wa kumsaini Ivan Rakitic, 31, lakini Barcelona wanataka kulipwa uero milioni 48 kumwachilia nyota huyo wa kimataifa wa Croatia. (Record)
AminMwenyezi Mungu muumba tujaalie kila la kheri usiku na mchana wa siku hii[emoji120][emoji120][emoji120]
Habari mkuu..karibu tenaNipo ndani ya nyumba.
Mfungo wa mwezi mtukufu unaendeleaje?
[emoji818][emoji818]
Asante jirani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Habari mkuu..karibu tena