Shukran sana tuendelee na mapambanoNaam naam ndugu tupo pamoja
👊👊Shukran sana tuendelee na mapambano
Amen[emoji120][emoji120]My wish for you today is a beautiful life
Hii nahisi ilikua ni Ile michuano ya Euro
Eti yuda eskariote alitumwa na mwanamke ili apokee pesa za kumkana yesuNi nini mpendwa?
Huyu jamaa ni kiboko Mkuu, yaani utabiri wake uko on the dot.
Tunapaswa kuyafikiria madhaifu yetu na dhambi zetu kwa makini sana, kwa kiasi cha kuyashinda madhaifu hayo na dhambi hizo, kabla hatujatoa maamuzi makali dhidi ya wenzetu. Tunawezaje kumlaumu mtu wakati hata sisi wenyewe tunaweza kuwa na matatizo makubwa?
Tusiwe wanafiki. Badala ya kulaumu, saidia.