Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee umetoka chimbo.. utakuwa umezikusanya! Tunasubiri nyuzi za 5 star hotel watu kuzianzisha tu huko!
Wakati wa kwenda kutumbua 5 star hotel umeshapita. Huu ni wakati wa kuangalia mambo ya legacy...Nini cha kufanya ili siku mtu ukiondoka angalau ukumbukwe kwa mema uliyowafanyia binadamu wenzio...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…