Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilishtuka nilifikiri amekufa!😅
Wenzetu huwa wanajiandaa...Nilishtuka nilifikiri amekufa![emoji28]
ubuyu huwa ni kweli...Ubuyu.....
View attachment 1108313
🤣🤣🤣Halafu wanakuwaga vimbelembele
Anataka kutumia hela ya biashara yake ya mihogo kumlipa mtaalamu amrudishie akaunti yake ya IG iliyofungwa. Sasa anauliza, akaunti isiporudi hasara ataibeba nani? Wanna help?Mh sijaelewa!
Kweli ni asilimia 2% labda. Mwingine wote uwongo [emoji16][emoji16][emoji16]ubuyu huwa ni kweli...
Mh.. bibi Chau nae.. IG account yake ina followers kabisa!Anataka kutumia hela ya biashara yake ya mihogo kumlipa mtaalamu amrudishie akaunti yake ya IG iliyofungwa. Sasa anauliza, akaunti isiporudi hasara ataibeba nani? Wanna help?
Ule wa mheshimiwa Askofu mfano..Kweli ni asilimia 2% labda. Mwingine wote uwongo [emoji16][emoji16][emoji16]
Weka mechanism of action
Mara kwa mara ndio mara ngapi?
Kangi ameshasema kuwa video ile ilikuwa feki [emoji16][emoji16][emoji16]Ule wa mheshimiwa Askofu mfano..
Nakukimbia sasa hivi utanifuturisha!🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nakukimbia sasa hivi utanifuturisha![emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]