πππKangi ameshasema kuwa video ile ilikuwa feki [emoji16][emoji16][emoji16]
Kimsingi inapaswa kuwa ni kila session...Mara kwa mara ndio mara ngapi?
It has to do with the acid...and the enzymes in the mouth [emoji3591][emoji3591][emoji3591]The best natural teeth whitening gel ever !!!Weka mechanism of action
Nshomile mupo?
Kumbe siri yenu kuu ya kuwa na akili sana (pamoja na yale mambo mengine) ni senene?
View attachment 1108119
I know.. Thx
Najua kati ya minne au tano hivi, bro hii habari haijanifurahisha kabisaBila shaka utakuwa umefurahi kukutana na uzi wa aina hii? [emoji16][emoji16][emoji16]
Kanda ya Ziwa unajua ina mikoa mingapi?
Chukua mkuuduh; aya nimekuja nipate likes na mie
Sawa Mkuu .. Nashukuru kwa kutukumbusha!Najua unajua, hakuna Kigeni kwenye Dini ya Mungu, lakini ubora wa ummati Muhammad ni kukumbushana.
"Kumbusha, hakika ya ukumbusho utamfaa mwenye Kuamini" Qur'an
haha asante sana bossChukua mkuu