Line ndefu hiyo konokono huyo atakuwa bado na ladha kweli? No I will pass bro [emoji16][emoji16][emoji16]Vipi bro unawish ungekua kwenye folen?
Priscaphobia - hii ni hofu ya kumwogopa Prisca na ligi zake [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Iatrophobia – Hii ni hofu ya kuogopa daktari.
Radi habari nyingine wewe !!!Astraphobia – Hofu hii pia inajulikana kama astrapophobia, brontophobia, keraunophobia, au tonitrophobia; hii ni hofu ya kuogopa radi.
ahaha unaogopa vingiRadi habari nyingine wewe !!!