Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,721 Gephyrophobia – Je huwa unaogopa unapofika kwenye daraja? Basi inawezekana una Gephyrophobia. Hii ni hofu ya kuogopa madaraja.
Gephyrophobia – Je huwa unaogopa unapofika kwenye daraja? Basi inawezekana una Gephyrophobia. Hii ni hofu ya kuogopa madaraja.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,722 Gerascophobia – Hofu ya kuogopa kuzeeka. Kusogea kwa umri ni kitu cha kawaida, lakini watu wengi huhofia hili.
Gerascophobia – Hofu ya kuogopa kuzeeka. Kusogea kwa umri ni kitu cha kawaida, lakini watu wengi huhofia hili.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,723 Telephonophobia – Hofu ya kuogopa kuongea kwa simu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,724 Ligyrophobia – Hofu ya sauti kubwa au kelele.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,725 Ombrophobia – Hofu ya mvua. Je unaogopa mvua? Ikiwa unaogopa mvua basi utakuwa una Ombrophobia.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,726 Equinophobia – Hii ni hofu ya kuogopa farasi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,727 Bathophobia – Hofu ya kuogopa kina (Inaweza kuwa ni kwenye ziwa, bonde, shimo n.k.)
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,728 Bathophobia – Hofu ya kuogopa kina (Inaweza kuwa ni kwenye ziwa, bonde, shimo n.k.)
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,729 Aerophobia – Hofu ya kuogopa kusafiri au kuruka kwa ndege.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,730 Phobophobia – Hii ni hofu ya kuogopa hofu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,731 Theophobia – Hofu ya kumwogopa Mungu au dini.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,732 Numerophobia – Hofu ya kuogopa namba na hesabu.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 May 27, 2019 #955,733 08:10
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 May 27, 2019 #955,734 Numbisa said: Musophobia – Hii ni hofu ya kuogopa panya. Click to expand... Duh
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,735 Athazagoraphobia – Hofu ya kuogopa kusahauliwa au kusahau vitu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,736 Phasmophobia – Hofu ya kuogopa mizimu.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 May 27, 2019 #955,737 Mvua na baridi....
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,738 Metathesiophobia – Hofu ya kuogopa mabadiliko. Ikiwa hutaki kubadilika na unataka kubaki jinsi ulivyo, basi inawezekana una hofu hii.
Metathesiophobia – Hofu ya kuogopa mabadiliko. Ikiwa hutaki kubadilika na unataka kubaki jinsi ulivyo, basi inawezekana una hofu hii.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,739 Kwetu myoyambendi said: Mvua na baridi.... Click to expand... Kwetu jua kali
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 27, 2019 #955,740 Panophobia – Hofu ya kuogopa kila kitu au kuhofia kuwa vitu vibaya vitatokea.