Kamekuaaa..Cute🙂
Nawatakieni Njozi njema kwa Woote!
"Sisi tulikuwa tunae kwa ajili ya mahojiano ya vitendo vinavyoashiria kufanyika mikutano isiyoruhusiwa inayohusishwa na vitendo vya rushwa, tumewaelekeza kwenye vyombo vingine vinavyohusika na udhibiti wa mikutano, sisi hatunae"
Mkuu wa TAKUKURU Singida
Sure[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1109962
2020 inakuja, unadhani jamaa atachukua maamuzi gani?Sad! 😢