Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Sergio Ramos mwenye umri wa miaka 33 amemwomba bosi wa Real Madrid Florentino Perez kumruhusu aikache klabu yake na kwenda China. (LaSexta - in Spanish)
 
Bosi wa Chelsea Maurizio Sarri ambaye amehusishwa kwenda kujiunga na klabu ya Juventus inasemekana kuwa amefikia makubaliano ya kupewa mshahara wa kiasi cha pauni milioni 1.2kila mwaka . (Mail)
 
Meneja wa timu ya taifa ya Uholanzi Ronald Koeman, Kocha wa zamani wa Juventus Massimiliano Allegri na Kocha wa Arsenal Unai Emery ni miongoni mwa watu ambao wanapewa nafasi ya kwenda kuchukua mikoba ya bosi wa sasa wa Barcelona Ernesto Valverd . (Mundo Deportivo - in Spanish)
 
Wakati huohuo taarifa zinasema kuwa meneja wa Ubelgiji Roberto Martinez ndie anapewa kipaumbele cha kwanza kuwa kocha mpya wa Barcelona kama Ernesto Valverde hataendelea na mkataba wake. (RAC 1 - in Spanish)
 
Mshambuliaji wa Juventus, Paulo Dybala mwenye miaka 25 amethibitisha kutaka kusalia na vibibi vizee vya Turin katika ya msimu ujao, licha ya kudaiwa kuwa anahitajika Manchester United. (Independent)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…