capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hivi huyu dogo ana matatizo gani huyu? Mbona anaropoka ropoka sana? Anadhani kuwa haya madaraka atakufa nayo?Paul Makonda: IST ni gari wanayohongwa wanawake mitaani, siwezi kuitumia na siwezi kumpa askari wangu
Video inayosambaa mtandaoni (nimei attach hapo chini) ya Mkuu wa mkoa wa DSM , Muheshimiwa saaaana, Mwenye mkoa wake, Mkuu wa mkoa aliyeongoza kwa kuuza vitambulisho vya machinga, PAUL MAKONDA akiwa kwenye event anasema maneno yafuatayo.. "Askari mmoja akaniuliza, sasa mkuu, tungetafuta kale...www.jamiiforums.com
.Hivi huyu dogo ana matatizo gani huyu? Mbona anaropoka ropoka sana? Anadhani kuwa haya madaraka atakufa nayo?
Sio kweli mkuu Korean drama hasa hizi za historical ni real story hakuna uongo hapoHizi movies napenda kuangalia ila wanazidisha uwongo aisee
😲😲😲Huyu si Vivian