Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Unapo kuwa na hasira, huzuni lia mpendwa kutoa machungu rohoni sisi wanawake tunapata afuheni hapo.Labda,
Fresh sana bro, vp pande hizo?Sema Bro,
Aisee![emoji125][emoji125]niliipata asubuh. Ee bana wenzetu wamefunga wasije taman buree[emoji23][emoji23]
Hapa ni shwari, hali ya hewa imetulia pia.Fresh sana bro, vp pande hizo?
Kwa leo mie team klopp maana jamaa hadi huruma akipoteza fainali hiiNataja uwe liver kwa muda
Hahahahahha aaah wapi kawaida tuAisee!
Kuna watu wanafaidi sana jamani
Pole sana hawachi.Kichwa kinauma,Shukrani Sana ππ
Wanaume hatulii mbele ya mwanamke buana! Tunalia kipindi cha masika, nyakati za mvua msitushauri kuonyesha udhaifu mbele zenu.Unapo kuwa na hasira, huzuni lia mpendwa kutoa machungu rohoni sisi wanawake tunapata afuheni hapo.
Inapendeza bro, mwezi mpya umeingia kwa Kik la katazo la ile mifukoHapa ni shwari, hali ya hewa imetulia pia.
Ni mwezi mpya huu.
Swaumu inaendaje Bro?
Asante sana MpendwaPole sana hawachi.
Hahahaha Davet umenichekeshaInapendeza bro, mwezi mpya umeingia kwa Kik la katazo la ile mifuko
Swaumu za mwisho hizi zinatesa sana bro ndio maana ata Hawachi unaona analalamika kuumwa kichwa
Daah! Sawa bhanaHahahahahha aaah wapi kawaida tu
Tunawaombea mmalize salama Bro.Inapendeza bro, mwezi mpya umeingia kwa Kik la katazo la ile mifuko
Swaumu za mwisho hizi zinatesa sana bro ndio maana ata Hawachi unaona analalamika kuumwa kichwa
Kulia sio udhaifu unatoa machungu yako rohoni kupata wepesi kiasi aibu zenu zinafanya muwe na machungu moyoni mwisho wake ni mbayaWanaume hatulii mbele ya mwanamke buana! Tunalia kipindi cha masika, nyakati za mvua msitushauri kuonyesha udhaifu mbele zenu.
πππHahahaha Davet umenichekesha
Hahahaha ishaalahπππ
Baada ya kufuturu tutakuuliza tena hali yako
HahahahahDaah! Sawa bhana