Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Yaan asubuhi jamaa umeamka na mihemko kama hii aisee kula like kwa mipovu yako ya omohuu uzi ni wa kipuuzi sana siupendi mimi
mods toeni hii takataka
umerogwahuu uzi ni wa kipuuzi sana siupendi mimi
mods toeni hii takataka
toa likes upewe likesKumekuchaaa
toa likes upewe likesZa asubuhi
Safi ngoshaZa asubuhi
Na nina huakika hii chuki ujazaliwa nayo umeipata ukubwani...huu uzi ni wa kipuuzi sana siupendi mimi
mods toeni hii takataka
Asante sanaa mzima kwanzaNimekusikia nimeamka....
Kumekucha na makucha yakeKumekuchaaa
Mi mzima kbsa, sijui wewe...Asante sanaa mzima kwanza