Aya ndugu asubuhi njemaHahahaha.....ngoja wakusikie...
Mkuu ulikuwa umepotea mpaka tukaanza kumwandama Cole tukidhani pengine ameku-Roma Mkatolikisha. Kwema mkuu?Atakuwa amelala kwenye mtaro huyu sio bure
Asante...na kwako pia..Aya ndugu asubuhi njema
Kumekucha sis. Mungu Akubariki uwe na siku njema!Hahahahaha, Goodmorning
Amen na wewe pia...Kumekucha sis. Mungu Akubariki uwe na siku njema!
Yap100k leo leo kbla hatujalala
HahahahaIla kuna kajini kwenye huu uzi
Shimbe morningUmechoka kutongozwa Babe S. Kazi ipo!
Una likes 76 mtu umejiunga 2015 utaupendaje uzi kama huu? If you can't defeat them join them...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi ni wa kipuuzi sana siupendi mimi
mods toeni hii takataka
Mzee wa dataKamata likes acha upuuzi!