HahahahaDah siyo kwa diskripsheni dipu namna hiyo! Eti hadi ulaini .. yote kwa picha tu?
Huyo ni pitch invader aliingia uwanjani katika mchezo wa fainal ya Uefa Champions LeagueHii picha naiona humu toka Jana huyu dada ana matatizo gani sisi wengine sio mashabiki wa mpira kiivyo
Aisee kuna many ways kumbe!Ngoja nimsaidie hatua ya kwanza tag mhusika kisha post halafu rudi kuedit futa jina la mhusika weka neno unalotaka kazi kwisha
bidada ameshiba futari.Hii picha naiona humu toka Jana huyu dada ana matatizo gani sisi wengine sio mashabiki wa mpira kiivyo
Aisee ushabiki ukizidi ni wehuHuyo ni pitch invader aliingia uwanjani katika mchezo wa fainal ya Uefa Champions League View attachment 1115679anaitwa Kinsey Wolanski.
Hahahahabidada ameshiba futari.