Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Lala salama bwana mdogo.G. Night Guys
Afande Nina mshonoo kuruti bhna mbona msosi hubakizi kama unaumwa sana.[emoji441] majeeshi si lelemama hayataki kubembelezana ayaiya maama sio siri umeroogwa kazi za majeshi we gangamala lazima ugangamale
Gangamala kupiga pushapu ee gangamala....
Usiku mwema na njozi njema Mkuu.
Ahsante sana Bros.Lala salama bwana mdogo.
Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]