Nipo siku nzima Leo mpka 100kMorning mkuu. Hujambo? Nimekukabidhi uzee wa data ndo ukapotea. Welcoma back kamanda!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...Mkuu ulikuwa umepotea mpaka tukaanza kumwandama Cole tukidhani pengine ameku-Roma Mkatolikisha. Kwema mkuu?
Morning nsamakaHabarini za asb wapenzi
Babe s hakikisha ule mpango unaufanya kimya kimya,Tanzania Tanzania...
Huna kazi nikuajiri?Nipo siku nzima Leo mpka 100k
Stress zinamsumbua tu...Una likes 76 mtu umejiunga 2015 utaupendaje uzi kama huu? If you can't defeat them join them...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahBabe s hakikisha ule mpango unaufanya kimya kimya,
Shemeji zako watengenezee chips mayai sababu huko shule chakula aina moja tu.
Hasa Uniq anapenda chai ya maziwa na sukari nyingi.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
HahahahaHayaga bageshi. Andjul leo kalala nyumbani au ni michepuko kama kawaida yake? Sitaki endelee kukudhalilisha na kama bado anaendelea na michepuko yake na wewe kumuacha hutaki niite tu nije nimshushie kipigo kwa sababu hakuna namna tena!