Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Big up bro
 
Thamani yake sokoni ni kufuru,anatajwa kama mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia ajaye.naam Mbappe anatikisa dunia katika miaka yake 20 tu Mbappe tayari ameshafanya mambo ambayo si Ronaldo wala Messi aliweza kufanya alipokuwa na umri kama huu...Naam anaitwa Kylian Mbappe aka Golden Boy...ama Gifted foots....Njoo Madrid Mbappe.
 
Naam msimu ndo umeisha hivyo wazee wa Gegenpressing mlistahili hasa baada ya kupindua meza kibabe wazee wa anfield ama kops hili taji mmelisubiri kitambo hasa baada ya kuwa na ukame mmoja balaa, Hongereni sana nilichojifunza toka kwenu ni kwamba Patience, Hardwork forever pay...na kutokukata tamaa, mmewalipa mashabiki zenu kile wanachostahili hasa baada ya kuwa nyuma yenu na kuwasapot kwa muda mrefu hata mlipokuwa mmechacha na kupotea na huu ndio ushabiki wa kweli, You guys will NEVER WALK ALONE.Tunawasubiri 2019/2020.



Kamwene.
June, 2019.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…